"Kuna" lyrics

"Kuna"

Wenzako waolewa we huolewi kwani we
Ati una hila moja husemi na majirani we
Sema na hila ya pili ukihongwa hufanani wewe
Sema na hila ya tatu midabwada kitandani we
Sema na hila ya nne mwenzetu mchafu ndani we

Kanijencee kibanda kwetu eeeh eeh eh
Kanijencee kibanda kwenu wataniva

Kanijencee kibanda kwetu eeeh eeh eh
Kanijencee kibanda kwenu wataniva

Kanijencee kibanda udugu wangu eeh eeh eh
Kanijencee kibanda shoga zako wataniva

Kanijencee kibanda kwetu eeeh eeh eh
Kanijencee kibanda kwenu wataniva

Lalilo lilo eeeeh, pambe tu!
Lololo lololo! lali lali lalii, laa lalii lali lali lalii

Ooo oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

Oooh ooh oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

Oooh ooh oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa lakini toss umezidi

Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi

Oooh ooh oh!
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote wachepuka lakini lizer umezidi
Acha nicheze mie
Na watu wangu jangwani nalia
Ooooh! Acha niringe mie
Na watu wangu jangwani nalia

Aaaaah! Aaah ah! Acha nicheze mie
Na watu wangu jangwani nalia
Acha nijishave shave
Na watu wangu jangwani nalia

Ooooh lolilo lilo eeeh!

Kuntu! Mambo hayo
Alolololo lolo lolooo!
Aah eeh mama mwanangu ooh!
Mama mwanangu ooh!
Aah mama mwanangu eeh!
Mama mwanangu eeh!

Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijvi
Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijvi
Waniacha napinda mgongo we, mbona sijijvi
Aaah! waniacha napinda mgongo we, mbona usiniambie

Jamani mi naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa, oooh, ooh oh naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
Naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa, oooh, ooh oh naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole

Jamani naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
Naumwa eeh eeh eh, naumwa
Naumwa, oooh, ooh oh naumwa aaah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
Naumwa kijipu upele jama, naumwa huniambii pole

Oyaa mwafulani wee khaaaaa
Ooh mwafulani usitukane dangaji nakuambia aaah
Huo udangaji jauanza dadayo kuutumia

Ukiona mwana wa mwenzio budege
Na wako vilevile
Na wako vilevile

Aaa ah ukiona mwana wa mwenzio mchele
Na wako vilevile
Na wako vilevile

Ukiona mwana wa mwenzio shangingi
Na wako vilevile
Na wako vilevile

Aaaah lilo lilo eeeh, tamu!

Nipeni barua yangu, niisome
Nipeni barua yangu, niisome
Nipeni barua yangu, niisome
Jamani barua yangu, niisome

Nipeni barua yangu, niisome
Naitaka barua yangu, niisome
Barua jama barua eeh, niisome
Barua jama barua eeh, niisome

Barua ya bwana ndani eeh, niisome
Barua jama barua eeh, niisome
Barua ya bibi ndani eeh, niisome
Barua ifike vyema eeh, niisome
Barua mama barua aah, eheeh, eh eh

Oooh nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu
Nyie wana dar es salama acheni umbumbumbu
Shariti ni kuinama ukitaka cha uvungu
Asa mbona wapata bwana halafu humpi?

Naombeni barua yangu, niisome
Naikata barua yangu, niisome
Niisome barua yangu, niisome
Barua jama barua eeh, niisome

Ah, eh

Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona chasimama ujue chataka haja
Ukiona kimelala kisha chafua mapaja
Jamani wewe!

Nipeni barua yangu, niisome
Naitaka barua yangu, niisome
Nipeni barua yangu, niisome
Barua jama barua eeh, niisome

Barua ya mwana ndani eeh, niisome
Barua jama barua eeh, niisome
Naitaka barua yangu, niisome
Niisome barua yangu, niisome

Barua jama bahaba, niisome
Mahaba jama ya muhiba, niisome
Ah, eh

Jamani kuna mama kuna kuna
Kuna mama kuna kuna
Kuna nazi kuna kuna
Kuna mama kuna kuna

Kuna kinyume nyume kuna
Kuna kimbele mbele kuna
Kuna kati kwa kati kuna
Kuna kinyume nyume kuna

Hasa ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku
Eh, ku, eh, ku, eh, ku, ku, ku, ku

Jamani kampata sharubaro jama kampeleka nyumbani
Muda wa kumpa mambo kamvalia miwani
Kule hakupaona kafanya kwa pajani
Jamani kuna sasa kuna kuna

Kuna embu kuna kuna
Kuna mama kuna kuna
Kuna dada kuna kuna
Ricardo momo kuna kuna
Esma twende kuna kuna

Ooh udangaji udangaji jama ni habari ya mujini
Wenzako wapewa nyumba kwa magari ya injini
Hivi we dangaji gani hadi leo walala chini
Ngoja, embu kwanza kuna kuna
Jifunze kukuna kuna
Kwa kushoto kuna kuna
Kwa kulia kuna kuna
Haya ku, ku, kuku, kukuku, ku, ku, kuku, kuku
Eh, ku, eh, ku, eh, ku, ku, ku, ku
Ah, eh
Ah, ah, ah, ah
Ah, ah, ah, ah

Ooh, utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie
Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Ooh, utaniweza wapi kuchepuka nimeanza zamani mie
Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Ooh, utaniweza wapi madanga nimeanza kitambo mie
Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Ooh, utaniweza wapi mjini napajua kitambo mie
Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie

Hasa nataka dodoa haya dodoa
Nataka katika haya katika
Jama najojoa haya jojoa
Hamu yanishika haya dodoa
Oooh nataka dodoa haya dodoa
Eh nataka katiaka haya katiaka
Jaama najojoa haya jojoa
Hamu yanishika haya dodoa
Mama nataka nilewe

Ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe
Oooh, jama nataka nilewe eh
Ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe
Aaaah, hasa nataka dodoa haya dodoa
Jamani nataka katika haya katika
Aah, jama najojoa haya jojoa
Hamu yanishika haya dodoa
Naataka dodoa haya dodoa
Jama nakatika haya katika
Ona najojoa haya jojoa
Hamu yanishika haya dodoa
Pambee eeeeh

Eeeh huo mnazi, unakatika
Mnazi, unakatika
Jamani mnazi, unakatika
Oooh, mnazi, unakatika
Ukitaka kukatika hukatika
Kati, kati, kati, kati, ka


You May Also Like
Sauti Sol - "Sura Yako" Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu...
Boy Spyce - "Pepe" (Snap me fine cinemato) (Yo Rexxie pon dis one) I'm losing focus I'm feeling so lost Them other girls jealous Cos you sweet me pass Kelloggs Show me your true color Burst my opolor Them other girls...
Falz - "Knee Down" Yeh yeh you dey control For my mind you dey control Yeh yeh you dey control For my mind you dey control Yeh yeh you dey control For my mind you dey control Yeh yeh you dey control For my mind you...
Joeboy - "All For You" (Yeah-yeah-yeah-yeah) I think I drink too much She wan, break up with her boyfriend 'cause of me Sey na only me wey she want she no wanty nobody She wan, break up with her bobo 'cause of me Sey na...
Skiibii - "Sensima" Gbefun eh o collect Owole owo net Kpakam body too correct Oh no no no Erima no forget Moniko gbefun O collect Owole owo net Kpakam body too correct She say she love me Eyan loveth Sensima why you dey...