"Samia Suluhu" lyrics

"Samia Suluhu"

Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara
(Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)
Tanzania ya Suluhu Hassan mama yameremeta
(Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)

Mungu ana mama (mama eeh mama)
Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama)
Amri jeshi kuu (mama eeh mama)
Anapendwa na wengi (mama eeh mama)

Ameimarisha urafiki kimataifa
Wawekezaji sa nchini kote wanafika
Demokrasi, siasa ya kuridhisha
Biashara ona zinauzika

Si nampenda aki (Samia)
Uone vua taki (Samia)
Misoko elimu kaweka safi (Samia)
Mashule kwa zahanati (Samia)

Kapinga zile kodi zote ziso halali
Vina uhuru sasa vyombo vya habari
Zote kesi za uonevu kafutilia mbali
Kapunguza fine za bodaboda
Sasa mambo shwari

Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara
(Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)
Tanzania ya Suluhu Hassan mama inafuraha
(Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara)

Mungu ana mama (mama eeh mama)
Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama)
Jemedari wetu (mama eeh mama)
Mtetezi wa wanyonge (mama eeh mama)

Iyena iyena, iyena iyena
Iyena iyena Rais Samia nambari one
Iyena iyena, iyena iyena
Iyena iyena Rais Samia nambari one
Ooh iyena iyena, iyena iyena
Iyena iyee Suluhu Hassan namba moja
Iyena iyena, iyena iyena
Iyena iyena Rais Samia nambari one

Mungu ana mama (mama eeh mama)
Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama)
Eh mwanamke wa shoka (mama eeh mama)
Oh mchapa kazi (mama eeh mama)

Amechukua ameweka wah (eh vitu vya afya)
Amechukua ameweka wah (flyover ndege mpya)
Amechukua ameweka wah (barabara vijijini)
Amechukua ameweka wah

Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele
Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele
Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele
Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele
Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele
Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele
Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge sana
Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele

Na kazi iendelee, kazi iendelee (twende pamoja, pamoja)
Na kazi iendelee, kazi iendelee (wakulima, madakitari na machinga)
Na kazi iendelee, kazi iendelee (maboda boda, waalimu oh)
(Platnumz)


You May Also Like
Olakira - "Call On Me" Make you no send Nobody You fine like that All them haters Wanna stop our shine But me and you forever we go be We meant to be And I like it like that My girl Ajo malo gbayi pe Ko si wahala Hakuna...
Sidhu Moose Wala - "SYL" Punjab ke andar hamari sarkar aa gayi hai 2024 me Haryana ke andar hamari sarkar aa rahi hai 2025 me Haryana ke har khet ke dole pe paani pahochege Ye hamara vaayda nahi hai, guarantee hai (SYL) Ayy!...
KiDi - "Mon Bebe" Hmmm Sugar Daddy Girls girls wanna have fun Throw that ass back machine gun Oh she's in action Her melanin shining like the sun Did you know that you're beautiful Hmm ah mon bebe mon bebe I will...
2Baba - "Gaga Shuffle" Eh eh eh, ehn ehn Hmn hmnn, na so, hmn hmnn Ehn ehnn, ehn ehnn As I want craze, (hmn hmnn) I want involve you for my fuckin' craze Ehn ehnn, hmn hmnn, na so (eh eh eh) As I want craze, ehn ehnn I...
Fireboy DML - "Diana" Oh yeah ah, oh yeah ah Oh yeah ah, oh yeah ah Don't you leave, Diana Oh yeah ah, oh yeah ah Oh yeah ah, oh yeah ah Phantom Ou mami don't leave me go Dubai You're the one I want Can't do this on my...