"Simba" lyrics

"Simba"

Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh!
Kumekucha Jama
Kishafanya Yake Munyama
Oooh! Kumekucha Jama
Kishafanya Yaa!

Agaah! Waambie Simba
Simba Kiboko Yao
Waambie Wekundu Wa Msimbazi
Simba Kiboko Yao
Oooh! Taifa Kubwa
Simba Kiboko Yao
Oooh! This Is SImba
Simba Kiboko Yao

Ona Manara Anacheza
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Mo Anarukaruka
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Yule Dada Anakata
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Agaah! Wahuni Wanarukaruka
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Na Tutamfunga Yoyote Atakae Kaa Mbele
Si Wanawashwa Tutawakuna Upele
Chenga Na Pasi Ndo Zetu Kama Mbele
Oh Magoli Mashuti Kama Pele
Wataweza Wapi Jamaa (Wakwende Zao!)
Kushindana Na Munyama (Wakwende Zao!)
Oooh! Wataweza Wapi Jamaa
Kushindana Na Musimbazi

Agaah! Nasema Simba
Simba Kiboko Yao
Waambie Wekundu Wa Msimbazi
Simba Kiboko Yao
Haina Mpinzani
Simba Kiboko Yao
Oooh! Mabingwa Wa Nchi
Simba Kiboko Yao

Ah Wanachama Wanacheza
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Mashabiki Wanarukaruka
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Ooh! Nguvu Moja
Anashangilia Ushindi Umekuja!
Hadi Wale Wanarukaruka
Wanashangilia Ushindi Umekuja!
Oyaa Mnyama Anakula
Aaaaaaaahm!
Mnyama Anang'ata
Aaaaaaaahm!
Mnyama Anakula
Aaaaaaaahm!
Mnyama Anang'ata
Aaaaaaaahm!
Anawatafuna
Aaaaaaaahm!
Anawemeza
Aaaaaaaahm!
Anawatafuna
Aaaaaaaahm!
Anawemeza
Aaaaaaaahm!

Eeeeh Kidedea
Eeeeh Kidedea
Eeeeh Kidedea
Eeeeh Kidedea
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu
Me Mwenzenu Mshabiki Wa Damu
Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu

Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba)
Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba)
Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba)
Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba)
Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela
We Kama Unaipenda Simba Peperusha Bendera
Ah Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela Basi
We Kama Unaipenda Simba Peperusha
Asa Twende Peperusha Bendera
Wanangu Bendera
Niione Bendera
Nionyeshe Bendera
Nyekundu Bendera
Nyeupe Bendera
Ya Simba Bendera Umoumo!

Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh!
Enheee! Waambie
Hii Ndo Timu Yenye Mashabiki Wengi East Africa
Na Yenye Makombe Mengi East Africa And Central
Iliyofanya Vizuri Zaidi Kwenye Mashindano Makubwa Afrika
Kuliko CLub Yoyote
Na Tutamfunga Yoyote
Enheeee!
Watoto Wa Msimbazi
Bado Sijasikia Miluzi
Sijasikia Milio
Wanangu Miluzi (Mama)
Nisikie Milio (Weka)
Wa Kule Miluzi (Twende Baba)
Wa Huku Milio (Umoumo)
Nisikie Miluzi (Wewe)
Wanangu Milio
Eeeeh Kidedea
Eeeeh Kidedea


Writer(s): Inconnu Compositeur Auteur, Solly Cohen
You May Also Like
Fally Ipupa - "Maria PM" Mokili ekoti matata dit Eric Mandala le docteur des ignorants et Maria Piron Wo wo wo wo wo wo wo wo Maria Piron, maman na Erika, Alvina et Nazeria Mandala Sirène ya police ekumbaka na prison Ya...
P-Square - "Shekini" P-Square eh eh Yahn ahn (Alen ) Yahn ahn Lets go Otu de oya sare wa gba kekere kerewawo Atu ti de oya burukutu make e sarabara owey (Oya shekini ni ni ni ni ) Oya shekina na na na na Ehn ehn I...
Harmonize & Rich Mavoko - "Show Me" Ayooo Lizer Wasafi Records Aah mwenzako I feel so Good kipindi nikikuona Au Huo Mwendo Unafanya kusudi na Ulivyoshona Wakati Unakwenda au unarudi wakata Kona Nyuma Ka Katuni za Masudi Ulivyonona...
Sauti Sol - "Sura Yako" Nimekuchagua wewe, nikupende Mama, sitaki mwingine Aushi usiniache, usinitende Mama, usipende mwingine Moyo wangu ni mwepesi Umenikalia chapati Nafanya vituko kama chizi Kukupenda sitasizi Moyo wangu...
Rayvanny - "Number One" Macho yalikuona, moyo ukakuchagua Mdomo ukasema nakupenda aah Mwambie umepona alokutesa moyo kuusumbua Maumivu yamekwenda Mi ni zawadi nilopewa Macho nipepese wapi Mi kipofu kwako sioni Penzi...