"Dharau" lyrics

Ibraah & Harmonize Lyrics

"Dharau"

Bomboclaat
Chinga again
Konde music worldwide

Mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo
Na Sikupanga imenibidi kulivua pendo
Maana mwanzo nilidhani utabadilika
Of course hakuna aliekamilika
Masaaa masiku miaka imekatika
Nachukia kujiona nikilalamika

Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani

Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi kurupushani
Kama unajiona kichwa shingo nani mi sipendi

Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii

Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii

Yeah, Me nilidhulumu nafsi kujikirihisha
Nikiamini me mtu wa mtu
Kumbe bora ninge chukuchuku
Aaah kidogo
Ninge fanya utukutu
Moyo ndio ulikupa nafasi
Chakusikitisha ninacho ambulia ni maumivu tupu
Bora ninge chukuchuku
Aaah kidogo
Ams ningewapa wakifanye supu

Kwako nilikuwa nyendo sina
Nikijua you are my sestiny
Sina wa kumtunzia heshima
Kama hata wewe nitashindwa kukuthamini

Nikweli utakwenda mazima
Japo itakuwa ngumu kuamini
Nitamisi michezo ya mama amina
Yakucheza kwaku buruza ulimi

Mapenzi ulionipa wewe
Walahi Misikutamani mwengine we wakiapo
Mwenzangu umebadilika wewe
Japo minakupa kila utakacho

Bora ugali dagaa kwenye amani
Kuliko wali nyama vitani
Mateso vitimbwi
Na ndio maana hatuendani weeeh

Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii

Dharau, Manyanyaso
Dharau, Masimango
Dharau, Manyanyaso
Siweziii siweziii

Dharau, Manyanyaso
Manyanyaso
Kondeboy call me "number one"
Bakhresa


You May Also Like
Diamond Platnumz - "Chitaki" We ndo kitumbua we ndo sambusa Basi njoo unichumu baby, ndio tuseme umesusa? We ndio mwisho wa reli, kwako nimeweka nukta Walokuambia nala zuchu, sio kweli wanazusha Wanaokaa vikao sisi kutujaji Wape...
Kizz Daniel - "Tere" Diko diko oh Ah ah Eh eh The best of magic Pe pe Pe pe Anywhere you put me I go dey Anything you reason me Baby I go pay I no wan chioma I no wan Sarafina oh Ah love you oh Anywhere you put me I go...
Naira Marley & Young Jonn - "Mafo" Eko dun ma bo'le (Eko dun ma bo'le) To ba ti lo'wo lapo (To ba ti lo'wo lapo) Asabi to'n sha Dollar Awon padi mi to'n shey wire Eko dun ju bayii lo Awon ara ibi lo mu omo ope salo Eh eh Owo wa leko...
Afro B - "Shaku Shaku" Mad, mad, mad Je ne veux pas de jetons Donne-moi l'argent Je ne veux pas de jetons Donne-moi l'argent Decalement shaku Tout le monde shaku Decalement Her body dey shaku shaku Shaku for me I'm...
Asake - "I Believe" Ololade mi Aşakę Tune in to the King of Sound and Blues How far my G? Mo fẹ pa'wo mi Mi o fẹ were, fun mi l'owo mi Işe kekere, owo nla bi Jeff Bezos abi Elon Musk As e dey go, ma ma dupẹ ni Tori ore...