"Kama Sio" lyrics

Kusah & Harmonize Lyrics

"Kama Sio"

Kuishi kwingi kuna mengi
Ila kama wewe bado sijamuona
Baby bado sijamuona, wa kukufikia hata robo
Kichwa kina mambo mengi
Ila upendo wako bado nauona
Nikifumba macho bado nakuona
How beautiful you are baby

Basi napenda unavyonidekeza baby
Nikikosea hunigombezi unanielekeza baby
Mwenzako napenda unavyonidekeza darling
Nikikosea hunigombezi unanielekeza baby

Na kama sio utu wako wewe
Huu utulivu ningeupata wapi
Na kama sio moyo wako wewe baby
Huu upendo namtoa wapi na kama sio

Utadhania sio wangu, kama sio mali yangu
Ooh msiri wangu, kama ndo kwanza namuona
Ameridhia shida zangu, na hiki kidogo changu
Kikubwa cha bara boo, tukikosa wali hata dona
Asa bora nikuambie, hakuna anaenijua mie
Kama ambavyo baby, vile unavyo baby

Basi napenda unavyonidekeza baby
Nikikosea hunigombezi unanielekeza bae
Mwenzako napenda unavyonidekeza darling
Nikikosea hunigombezi unanielekeza baby

Kama sio utu wako wewe
Huu utulivu ningeupata wapi
Na kama sio moyo wako wewe
Huu upendo ningeutoa wapi
Na kama sio