"Wasi Wasi" lyrics
"Wasi Wasi"
Heyy...
Hmm heyy heyy...
Mmhmhmmm...
Upepo mwanana
Nawe upo kifuani mwangu
Jua likizama
Mikono salama
Karibu kwenye moyo wangu
Mi baba uwe mama
Aah...
Zima taa washa mishumaa
Nilishe kama na njaaaa
Aah...
Kila dakika kila masaa
Palilia penzi litasinya
Aah...
Sura yako macho yako
Upole wa mama yako
We chaguo langu
Mama aah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu mali yako
We chaguo langu
Mama aah
Wasiwasi
Mwenzako sina
Maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima
Niwe na ww milele
Wasiwasi
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na wasiwasi
Ntakuganda ruba
Pua na leso tufatane
Mahabuba
Tuwe mapacha tufanane
Wenye husuda wakiroga tutengane
Ongeza rutuba
Nije na pete tuoane
Supu chukuchuku
Miguu ya vikuku
Ayy
Utaua ehh
Utaua ehh
Na haya manusunusu
Ukinibusubusu
Ayy
Maua ehh
Maua ehh
Sura yako macho yako
Upole wa mama yako
We chaguo langu
Mama aah
Taswira yangu picha yako
Moyo wangu mali yako
We chaguo langu
Mama aah
Wasiwasi
Mwenzako sina
Maana niko na wewe
Wasiwasi
Tunza heshima
Niwe na ww milele
Wasiwasi
Ehhhh
Uko na mm usiwe na
Wasiwasi
Uniaminiii
Usiwe na wasiwasi
Writer(s): Raymond Mwakyusa, Nusder Venom
- AZLyrics
- R
- Rayvanny Lyrics
You May Also Like
Meddy - "Slowly" Do you believe in love?
How crazy it could be
Baby baby stop
Hmm, take it easy
When you leave
I swear I can't breathe
Do you really care? Baby
Niba unkunda
Nkomeza
You're my fantasy
My only desire...
Diamond Platnumz - "The One" Eyo laizer
Aii
My heart can never tell me lies
I know you love me and the love is true
And I feel the same way, I can't deny
Baby Ondiku hole I will die for you
I swear usitishwe na vimbele mbele...
Gyakie - "Forever" FLIP THE MUSIC
Gyakie uh huh
Na na na na na eyy ya
My mind dey for you
My heart beats for you
Every time when I think of you
I don't know...
I, I, I feel loved again
I don't want to wait for days...
Harmonize - "Never Give Up" Oooh nooh
Lord have mercy
Yeh yeh eeeeh
KONDE BOY
Let me tell u ma story
Nimezaliwa mtwara Tanzania
Huko kijijini chitoholi
Hapa mujini nimezamia
Ndoto zilikuwa kucheza boli
Mara ghafla kwa mziki...
Hiro - "Pas Pareil" Hou ah nga yeah
Hou ah nga yeah
Hou ah nga yeah
Hou ah nga yeah
Et si tu tombes, je s'rai ton épaule
Mon yeux sur tes lèvres comme une vulgaire clope
Partager le souffle de ton cœur hein
Je s’rai...