"Msumari" lyrics

"Msumari"

Ay-Ayo, Trone
Mmmh

Ni utoto tu, ila mie kwako sipindui
Ndio maana usiku nikinuna, najichekesha asubuhi
Ni ujinga tu, ila mie kwako fala
Ndiomaana usipopokea simu, siwezagi lala
Mmm, umenifunza tofauti ya kupenda na kupendana
Na kuongea sio sauti ata macho husemezana
Na mapenzi yanataka, 'imara, kuamini ana
Na mi kwako sina shaka, ewalah, utachofanya

Na hivi vi inzi, vya kuzengea wizi
Vikija anga hizi, visikunyime amani
Lala usingizi, upepo barizi
Mie mambo ya uzinzi, 'aku!, vya kazi gani, baby?

Hapo hapo ilipo mbao (Gongelea na msumari)
Oh, penzi letu tuboreshe (Gongelea na msumari)
Ezeka na bati, honey (Gongelea na msumari)
Mvua ya chuki isipenyeshwe (Gongelea na msumari)
Mm, mm-m

Oh, njiwa nenda, njiwa, 'njiwa peleka salamu (Peleka salamu)
Naivasha, Kivule, 'Mombasa zifike Lamu
Njiwa nenda, njiwa, 'njiwa peleka salamu
Ziende mpaka kwa yule, alonitesa mwanaharamu
Si alisema mimi, sitopata wa thamani
Asa hii ni nini? Muulize huyu nani
Wamebaki kutabiri si punde tutaachana
Wambie sio kwa penzi hili, mbona wataroga sana

Na hivi vi inzi, vya kuzengea wizi
Vikija anga hizi, visikunyime amani
Lala usingizi, upepo barizi
Mie mambo ya uzinzi, 'aku!, vya kazi gani, baby?

Hapo hapo ilipo mbao (Gongelea na msumari)
Oh, penzi letu tuboreshe darling (Gongelea na msumari)
Ezeka na bati, honey, oh (Gongelea na msumari)
Mvua ya chuki isipenyeshwe (Gongelea na msumari)
Mmm

Wasafi


You May Also Like
Harmonize - "X" Kondeboy, call me "Number one" Nani kasema. X wangu ana enjoy Nani kasema anapata raha Ivi nani kasema X wangu ana enjoy Nani kasema anapata raha Nikimuona analewa namuelewaa Anajiona kachelewa age...
Ayra Starr - "Commas" Na which kind life wey I never see? I carry God, so I fear nothing Steady increasing the commas Comma, comma, commas Original no be parody E no fit clear for your memory Whether na winter or summer,...
Mariah Carey - "Play This Song" Play this song by yourself And your friends don't talk about it About your suffering in your silence Boy, I know you miss me (Listen by yourself, you can listen by your damn self) And I can't...
Khalid - "out of body" Yeah, ah (Darkchild) (Nah-nah-nah) Yeah, yeah (Nah-nah-nah, nah-nah-nah) Oh-woah (Nah-nah-nah, nah-nah-nah) You're so conspicuous Now I'm hauntin' you It's too ridiculous How bad I'm wantin' you...
DaVido - "UNAVAILABLE" Baddest You know Eh, eh, eh, eh Tune into the king of sounds and blues Initiating rage process I'm unavailable (Unavailable) Dem no dem see me (Dem no dey see) I'm unavailable (Unavailable) Dem no...