"Nitaubeba" lyrics

"Nitaubeba"

Imagine uko jangwani umepotea
Mchana juani unatembea
Utokapo ni mbali uendapo ni mbali
Mara ngamia mbebaji akatokea
Na kukushusha mzigo uliokuelemea
Upate afadhali pole na safari
And that's what you did to me yote tisa ila kumi
Umeonesha maana ya upendo
Si kwa maneno bali kwa vitendo
Umeridhika na nilichonacho
Vya watu hutoleagi macho
Siku nikiwa sina twalala
Oooh baby twalala
Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie

Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Nitaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume

Imagine hujifahamu umezimia umewekewa damu zinaingia
Bomba ikafunguka na huwezi hata nyanyuka
Mara dakitari wa zamu akaingia umepata fahamu unamwangalia
Machozi yanakuanguka unatamani funguka
And that's what you did to me yote tisa ila kumi unanifurahisha kwenye tendo
Au unipe penzi la magendo
Aaaah baby if I close my eyes mi namuomba Mungu akulinde
Na akusimamie we ndo pacha wangu mie

Eti siku hizi vipi mbona sikusikii tena
Sikusikii ukilia sikusikii ukisema
Niko busy na boo jamani nimeshasema
Niko busy na baby na msalaba wake

Nitaubeba, nitaubeba nitaubeba na ntafika nao kiume
Nitaubeba (iwe kwenye shida na raha)
Ntaubeba (ama kwenye shibe na njaa)
La kwako ndo langu my darling na ntafika nao kiume

Iwe kwenye shida na raha ama kwenye shibe na njaa
La kwako ndo langu my darling


Thanks to Osyhimself for correcting these lyrics.
Writer(s): Harmonize Harmonize
You May Also Like
Diamond Platnumz - "Sound" Shika kashika huku Eh eh! Kashika huku Eh! Shika kashiko huku Eh! (Ayo Lizer) Oya dance limpopo Dance Sukusi Do for me Soco Make me confused Chee! Bring your body close to me Haya haya! Something...
Runtown - "Oh Oh Oh (Lucie)" Baby girl give me one chance I say all I need is one dance When Lucie do the dance She could do the fire dance When my baby do the dance She could do the African dance eeh Oh oh oh! Ye iye eh...
Sauti Sol - "Nenda Lote" Umetuma wazazi wako waje wanielezee Umetuma wazazi wako waje wanielezee Hunitaki tena Na mashoga zako waje waniambie Na mashoga zako waje waniambie Ndoa tumeivunja Siamini Kuna time singeishi bila...
Nyashinski - "Hapo Tu" Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! (Yeah, yeah yeah yeah) Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! (Cedo) Guardians tuko jaba Wengine wako meeting Zetu ni ma German Zenyu pikipiki Leo tunaenda Canaan Beba...
Rayvanny - "Tetema" Aya twende tetema (oh, mama tetema) Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema) Aya twende tetema (oh, mama tetema) Shuka chini tetema (oh, mama tetema) It's s2kizzy baby Tetema yani kama umepigwa shoti...