"1 Of 1" lyrics
"1 Of 1"
Mafan wanaiaka some new ish
Mamaa anataka a new whip
Babaa anatafuta school fees
Hananga patience ya bullshit
Uh. Nakuwanga hood rich
Jaba inaletwa na toothpick
Pull up wanashangaa who's this?
Pull up wanashangaa who's this?
Shin chilla
Dogi mzee hazina new tricks
Wanaishanga wakifeel sweet
S'wataji kama the shoe fits
S'wahitaji sana vile nyi huwish
Sanaa imejaa na cool kids
Gava inafaa na ma youth please
Ambia hawa mafala the truth is
Song zao nazipeanga 2 weeks
Mang'aa amesmana kwa pulpit
Anapractice kile you preach
Mind yangu inakuwanga too quick
Lines zangu zinakuwanga too sick
Maflow unaonanga vile mi huswitch
Mi pekee ndio rapper nyi humiss
Hakuna level sijai reach
Hakuna dranya too thick
Wah!
God bless
Tangu nishike cordless
Marapper wengi wako jobless
Hii game nikaa mocha ni heartless
Uh
Industry ni selfish
Aim ya kila mtu ni get rich
So na aim-ia kila si make peace
Na ata kaa kaa ntaforgive si forget shit
Hivi ndio inakaa saa ile ubahatishi
Unaona gwiji
So far cheki naifanya fiti
Unapenda mziki
Na hata hulazimishwi
Na mapost mingi mingi
Bila stunts na makiki
Narun jiji
Na sound fiti
I am simply
One of one
Hivi ndio inakaa saa ile ubahatishi
Unaona gwiji
So far cheki naifanya fiti
Unapenda mziki
Na hata hulazimishwi
Na mapost mingi mingi
Bila stunts na makiki
Narun jiji
Na sound fiti
I am simply
One of one
Uh
Ni so fulfilling
Silipwi na promises
Ama exposure
Hapana ni dollar au shilling
Utaamini blogger au mimi
To be frank lakini
Career yako ilidie ikazikwa unangoja argue na mzoga au nini?
Unanfuata sana umerogwa nini?
Uh
Mi sio kaa nyinyi hakuna msanii hupiga show kaa mimi
Heh gari ya loan kutuonesha ati vile unashika doh siamini
Baada ya miaka kadhaa unadai kuchangiwa
Wah
Juu ya okada ju ya vile umeharibu maziwa
Wah
Sitation yangu ni win-win
Aisee digaga na bling-bling
Friday kidagaa na sim-sim
Man siezi lala nalive dream
Kitu hamwezi fake ni energy
Sitolerate fake energy
Arif atabaki arif
Enemy atabaki enemy
Niko la vila nakula pasta na wife najua watu ni magangsta for life
Stamps zimejaa kwa passport for mine
Kumbuka ni business class nikifly
Uh
Business yangu usiingilie
Usha warn-iwa saa usinitry
For peace of mind sijidrive
Uh
Crib ya mine si ni vibes
Umefanya nini in life
Ndouweze kunipa advise
Tuambie unajua nini besides
Ku criticize, criticize?
Huh
Nimefanya vitu hukuwa unajua zinaeza fanyika
Keep it 1hunna
So ata hizo vitu nakuona uko busy ukiandika
Hazina maana
Mahater si wanang'ang'ana
Mamoves mi namake wanaziona
Umengoja niheme ukahema
Nlikushow mi ni marathon runner
Nafanya unakaa fala kupredict
Downfall ya mine
Mmebonga sana na nimewaskia saa nawachapa one at a time
- AZLyrics
- N
- Nyashinski Lyrics
EP:
"To Whom It May Concern" (2024)