"Fundi" lyrics

"Fundi"

Hata wajiweke filter
Uzuri wa sura yako hawatafika ooh
Mama umekamilika ooh
Wasiokupenda ona wanakunja ndita ooh

Na unajua kupika ooh
Nikishakula natamani kukulipa oh
Hakuna kitu ananificha sa'
Katongozeni nije kuwaaibisha oh

Mungu kakupendelea ndo maana unaringa
Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda
Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah

Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah
Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah

Hizi cassava kamenyamenya
Akibana inapenya penya
Manzi wa kanairo Kenya Kenya
Kwenye giza nimekatekenya

Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi aah
Fundi eeh, anayajuaaa

Uno la kidigo sura ya kimasai
Shepu la kinyaki afro nywele Dubai
Meno ya kichaga Oldonyo Lengai
Haikatoks, haikatai

Ma, sweety nyonya hio ka pipi
Ukikalia kwa kiti, pressure hio ni bidii

Mungu kakupendelea ndo maana unaringa
Geuka shepu ina bembea ndo maana unavimba
Na hizo dimple ukinichekea nyusi umezitinda
Nipe nitakupelekea wiki tunamimba, aah

Nikitoka leo kongoni nishuke uvinza, Aah
Ukinipa kinondoni nikuombe sinza, aah

Hizi cassava kamenyamenya
Akibana inapenya penya
Manzi wa kanairo Kenya Kenya
Kwenye giza nimekatekenya

Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi eeh
Fundi aahh, anayajua mama
Mtoto fundi we, fundi aah
Fundi eeh, anayajua mama
Mtoto fundi aah, fundi eeh
Fundi aah, anayajua mama

KamixLizer


Writer(s): Raymond Mwakyusa, Iraju Mjege
You May Also Like
Harmonize - "Deka" Brother acha ujinga Motto wa kike sifa yake kuringa Ubahiri mwisho iringa uoni kina konde boy Wanavyo mwaga mandinga mmmh Kajala one and two ten azote ni range Mwenzetu umetuma ka laki tu na bado...
Noizy - "Pa Mu" A thu qa kishe ba ti pa mu A thu qa kishe ba ti pa mu Athu qa kisha ba un pa ty A thu qa kisha ba un pa ty CauseI want you right now I want you right now Zemer qa don ti I want you right now I want...
Lasmid - "Atele" (Charger) (Craaaaze) (Na na na...) Be my bebe I do want ya Be my baby e I do want ya Be my mother ei Yeah Oh baby I don't wanna be a womanizer please Don't you turn me down, I wanna be the gee You...
JAE5 - "Propeller (Remix)" (JAE5) Oh-oh-oh-oh, yeah-yeah-yeah Woah, woah-oh-ayy-ayy Oh-oh-oh, say Been a long time since I learnt to put rhymes together Spin 'round your block, I'm a big propeller Came with my team, I came...
Diamond Platnumz - "Unachezaje" Ladies and gentleman Now the moment you've all been waiting for The world famous... Eh eh Zombe, oh S2Kizzy, baby Aga Mfukoni nina kiti (mati) Mkononi kai (mati) Nasikia kuna kiki (wapi?) Nije...