"Mkeka Umetiki" lyrics

"Mkeka Umetiki"

Shemeji yenu kanuna wala hacheki
Kaondoka nyumbani sababu ninabeti
Mikeka inabuma kila nikiseti
Sa leo muindi kajichanganya kudadadeki
Oya nilishatia jamvi mechi nacheki kwa TV
Nikampa Barcelona huku nikampa Chelsea
Manu Arsenal nikaomba watoe GG
Nawashukuru Madrid wamenipa over ya three

We mama mtu rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu rudi magetoni mkeka umetiki
We mama mtu rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu nyumbani kumenoga mkeka umetiki

Utanunua abaya sio kijora mtoto
Request bajaji mama tuna mtoko
Muindi kakanyaga leo nauwasha moto
Na huoni mkeka wa kulia kuna wa kushoto
Nilivyompania kaji bahi wala hakuchomoa ngo'
Wanacheza Man City sa Haaland hapo anakosaje goal
Liverpool yuko nyumbani ni hatari watampiga mtu four
Cashout sitaki PSG nataka ashinde adraw
Huu mkeka umetoa sa mambo na haingai
Hizi shida ndogo ndogo nyumbani bye bye
Na leo na upwiru basi fanya uhai
Rudi sitaki nikucheat kuna mauti

Mama rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu rudi magetoni mkeka umetiki
We mama mtu rudi nyumbani mkeka umetiki
We mama mtu nyumbani kumenoga mkeka umetiki


You May Also Like
Diamond Platnumz - "Msumari" Ay-Ayo, Trone Mmmh Ni utoto tu, ila mie kwako sipindui Ndio maana usiku nikinuna, najichekesha asubuhi Ni ujinga tu, ila mie kwako fala Ndiomaana usipopokea simu, siwezagi lala Mmm, umenifunza...
Tayc - "D O D O" Iiiiiii-Iiiiii-Iiiiii-Iiiiii-yeah Dodo, umh Ce soir pas de dodo, yeah Iiiiiii-Iiiiii-Iiiiii-Iiiiii-yeah (Tayc de Tayc) Dodo, umh Ce soir pas de dodo Iiiiiii-Iiiiii-Iiiiii-Iiiiii-yeah (yeah, yeah,...
Skiibii - "Sensima" Gbefun eh o collect Owole owo net Kpakam body too correct Oh no no no Erima no forget Moniko gbefun O collect Owole owo net Kpakam body too correct She say she love me Eyan loveth Sensima why you dey...
KiDi - "Say Cheese" Mmm, Sugar Daddy (This be Kayso from Tema) I got a girl, she a London ting She wanna roll one, smoke one ting I want to give her a diamond ring But she say all the girls like my ting She make my...
Diamond Platnumz - "Yatapita" Yatapita yana mwisho Ipo siku tutayasahau, watatuheshimu walio tudharau Kaza moyo, nivumilie Amini tutayasahau Watatuheshimu walio tudharau (Wote) Na ntakununulia (Vyote) Mawigi na simu (Vyote)...