"Sikupendi" lyrics

"Sikupendi"

Sikupendi... (hmmmm)
Sikupendi... (aaaahh)
Sikupendi... (eeeehh)
Sikupendi (Max Maixer)
Sikupendi

Kichwa wanipasua, unanichapa fimbo
Moyoni napata tabu
Unajishaua unamalingo
Kama una sura ya Dhahabu
Ni miaka sasa nakufata
Ndala zangu zote umekata
Kutoka tegeta hadi tabata
Mpaka visigino vimechacha
Mara nasikia kuna bakari kinyozi
Ulishampa Hadi kaka yake Rose
Kwani we ni pilipili unitoe machozi
Nikikufata waniletea mapozi

Mapenzi uvumilivu unajua
Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua
Basi mama we ndo Bima

Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng'o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)

Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu
Kila mambo nikiset
Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu
Kila siku kwenye geti
Nilikufata mpaka kigogo
Kwenye shughuri yake mama Asha Modo
Ukanitukana matusi nina shobo
Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo
Akanitimba migumi kede kede
Nikawa mjinga tena bwege bwege
Kama nimetinga pombe bege bege
Alinishinda nikawa lege lege
Heee eeeh
Nakata tamaa kuwa nawe
Nikirudisha kumbukumbu
Nilipo kuona na masawe
Kwenye guest ya manungu
Ulifanya nipagawe
Kwa mawazo na uchungu
Nilikesha nje oh mama wee
Nikawa chakula cha mbu

Mapenzi uvumilivu unajua
Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua
Basi mama we ndo Bima

Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng'o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi)
Sikutamani ng'o (Sikupendi )
Naonyesha dhahili (Sikupendi)
Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwen siji tena (Sikupendi)


Writer(s): Raymond Mwakyusa
You May Also Like
Diamond Platnumz - "Sijaona" Ati niende kwa mganga Ntoe doti za kanga Ama nikufunge kamba Ntadanganya mie eh Nyumbani nifuge mamba Mara mlinzi kwa panga Kuchunga usije danga Uwongo nisikwambie Moyo wangu Usiufanye njia oh...
Ibraah & Harmonize - "Dharau" Bomboclaat Chinga again Konde music worldwide Mungu alonipa ukilema hawezi nunyima mwendo Na Sikupanga imenibidi kulivua pendo Maana mwanzo nilidhani utabadilika Of course hakuna aliekamilika Masaaa...
Skiibii - "Sensima" Gbefun eh o collect Owole owo net Kpakam body too correct Oh no no no Erima no forget Moniko gbefun O collect Owole owo net Kpakam body too correct She say she love me Eyan loveth Sensima why you dey...
Lojay & Sarz - "Monalisa (Remix)" Baby follow my commanding like zombie Go down on me o with your coca body Follow my commanding like zombie Go down on me o with your coca body 'Cause this your miliki for front na for me Hol am for...
Omah Lay - "Lo Lo" I just want lo lo (I just want to love you) I just want lo lo (I just want to love you) I just want lo love you (I just want to love you) I just want lo lo I just want lo lo I just want lo lo I just...