"Siwezi Acoustic" lyrics

"Siwezi Acoustic"

Mwenzako Picha tu
Nikiziona na kwisha boo
Nasikitika tuu
Hivi penzi ndo liliisha boo

Maana nishalia nikanyamaza
Bado sichoki kukuwazaa
Sina wakuniiliwazaa
Nimeshindwa kujikaza

Shamba nililiachia
Wapita njiaa
Sasahivi wanalihudumia

Wamelilimia na kupalilia
Hadi mazao yamesha chipukia
Tulivaa hadi sare sare
Couple ilikua kale kale

Yani marafiki wale wale
Leo wanakula pale pale

Siamini kwangu ulisepa
Huku unanenepa
Huna hata mawazo
Huku ndani ndani nateseka
Moyo umeuteka
Huu sio wimbo Tangazo
Siwezi
Mi Siwezi
Mi Siwezi
Mi Siwezi
Mi Siwe
Siwezi
Siwezi
Siwezi
Siwezi


You May Also Like
Kizz Daniel - "Buga (Lo Lo Lo)" Hey! Don't Sleep Don't Sleep Wake up Collect your money Collect your money Wake up, eh! Collect your money Collect your money Wake up Giddem Gbe'ra, gbe'ra Gbe'ra go get that mullah (wake up) Mo ni...
P-Square - "Jaiye (Ihe Geme)" P-SQUARE! ... Ok...Yeah iyahhh! Na tin dey... Craze! Jaiye ori mi Jaiye Jaiye ori mi Jaiye ori mi (Yeah iyahhh!) Jaiye Jaiye ori mi Ihe geme ... Ihe geme eeh Ihe geme ... Ihe geme eeh Ima nihe geme...
Harmonize - "Teacher" Yah yah Ah ha ha ha ha, Jeshi (Imma in the beat) Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na viewers wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti...
Meddy & The Ben - "Lose Control" There goes my baby, my baby So let me talk to you Before bed time Let me whisper something sweet I'm better, better I'm better when I'm close to you I'm better Feeling better, yeah Coz when you...
Ruger - "Dior" Hmmm oloun Badman looking good in Dior Badman drip to da core Sport car's parked on the right spot Badman sleek and you know Badman looking good in Dior Badman drip to da core Sport car's parked on...