"Best Woman" lyrics
"Best Woman"
Mara kumi nifungwe jela miaka mingi kama mandela
Ama nifiege huko huko bora nifiege huko huko
Kuliko kukuona unateseka mum ukiteseka moyo unapata tabu
Kuna muda mwingine nakukera bhasi nakupoza navidera mitaa
Na mazaga ya kariakoo na vitu vya baridi upozee koo yanaisha tunacheka
Vimba mama ringa deka maana una kila sababu
Hivi uliwezaje kila siku kunibeba kwa mgongoo nisijichafue na udongoo
Ukanipangusa matongo tongoo aah mama aah mama I love you mama mama love you
Mama penye nia pana njia namuomba mungu ndoto yangu ije timia
Siku name niweze kuyafikia hata robo ya mazuri uliyonifanyia
I love you mama I love you mama mama love you
Man hakuna kama mama yangu mimi
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Yani kuna mama na mama yangu mimi
Mama ni mama
Ooh mama
Mama ni mama
I love you mama
Mama ni mama
I love you mama
Mama ni mama
I love you maaa
Mama ni mama
Maaaa
Mama ni mama
Mama ni mama
It's your birthday mama vaa pendeza hujazeeka acha kujiendekeza
Wajukuu zako watakufundisha kucheza onja na kawine kama ukiweza mama
Ooh mama I love you
Yeih
Mama yangu wewe ni nguzo maisha mwangu taa imulikayo mbele yangu
Maneno yako mama yanaongoza maisha yangu ooooh mama I love you mama
Hivi uliwezaje kila siku kunibeba kwa mgongoo nisijichafue na udongoo
Ukanipangusa matongo tongoo aah mama aah mama I love you mama mama love you
Mama penye nia pana njia namuomba mungu ndoto yangu ije timia
Siku name niweze kuyafikia hata robo ya mazuri uliyonifanyia
I love you mama I love you mama mama love you
Hivi uliwezaje kila siku kunibeba kwa mgongoo nisijichafue na udongoo
Ukanipangusa matongo tongoo aah mama aah mama I love you mama mama love you
Mama penye nia pana njia namuomba mungu ndoto yangu ije timia
Siku name niweze kuyafikia hata robo ya mazuri uliyonifanyia
I love you mama I love you mama mama love you
Man hakuna kama mama yangu mimi
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Mama ni mama
Yani kuna mama na mama yangu mimi
Mama ni mama
Ooh mama
Mama ni mama
I love you mama
Mama ni mama
I love you mama
Mama ni mama
I love you maaa
Mama ni mama
Maaaa
Mama ni mama
Mama ni mama
- AZLyrics
- H
- Harmonize Lyrics
album:
"Visit Bongo" (2023)
You May Also Like
Sauti Sol - "Afrikan Star" Yea yea yea yea...
Oh yeah yeah...
Yeah!
You got it all going on with your body
You got it all baby
Your papa Uganda, your mama Burundi
My African star baby na
Umeumbwa ukaumbika, yeah
Sura, shepu...
P-Square - "Temptation" This na temptation
I say this na temptation
With a little confusion
Infatuation
Oh Lord All my friends dey call me number 10
Cause I dey play like Okocha
Dey score like Ronaldinho
Honey Biko
No...
MohBad - "Backside" Imole
Nkan to gbe seyin por gan
Jesu lo le gbawa
Jeka lo se ninu iyara
Nkan to gbe seyin o bad o
Oshamo pe mi Mohbad o
Jeka joma collabo
Awon guys mi tin kanra
Coco mati bawa
We wan dey go our...
Rayvanny - "Nitongoze" Weka shida chini glasi juu tujipongeze
Usijali wanafki wambea chapa mziki, wote tucheze
Haha, Vanny Boy
Chui
Platnumz
(S2kizzy baby)
Ah maswali mengi kwa waiter
Hauna hela nini? (Eti)
Hiyo shi'...
Timaya - "Sweet Us" As e dey sweet us, e dey pain dem
As e dey pain dem, omo e dey sweet us
Hear me now
Legga
As e dey sweet us, e dey pain dem
As e dey pain dem, omo e dey sweet us
As e dey sweet us, e dey pain dem...