"Na Nusu" lyrics
"Na Nusu"
Mwanamke ni mtu na nusu
Kukatishwa tamaa usiruhusu
Mwanamke ni mtu na nusu
Kurudishwa nyuma usiruhusu
Na kam mwanaume ndio kichwa
Cha familia
Basi mwanamke ndio shingo
Na kiwiliwili
Amani ya mume alie bora
Inatengenezwa na mke
Anapoianza siku
Hata furaha ya mume alie bora
Inakamilishwa na mke
Ifikapo usiku
Si ujinga kukubali matokeo
Na sio swala la kupinga
Wanatuzidi upeo
Ingekuwa hiari yangu mimi
Ningewapa kila cheo
Muadilifu kama mama yangu
Sijamuona mpaka leo
Samia Suluhu
Ni mtu na nusu
Mboni mpaye mpango
Ni mtu na nusu
Mariam mwinyi
Ni mtu na nusu
Marry Majaliwa
Ni mtu na nusu
Okt Tulia
Ni mtu na nusu
Anne Makinda
Ni mtu na nusu
Bibi Titi
Ni mtu na nusu
Sophia kawawa
Ni mtu na nusu
Patakucha litazama
Hadi ifike kiama
Huto muona kama mama mama
Mwanamke ni kiumbe jasiri
Mama ndie mungu wa pili
Ile miezi tisa ni siri
Baba asingeweza hata miwili
Hata uwe tajiri, tajiri
Kamwe huwezi kuwa na mama wawili, wawili
Mume ataoa wawili, wawili
Mwanamke hawezi kuwa na wawili
Fikiri
Sio ujinga kukubali matokeo
Na sio swala la kupinga
Wanatuzidi upeo
Ingekuwa hiari yangu mimi
Ningewapa kila cheo
Muadilifu kama mama konde
Sijamuona mpaka leo
Maria Nyerere
Ni mtu na nusu
Bi Fatuma Karume
Ni mtu na nusu
Siti Mwinyi
Ni mtu na nusu
Mama Anna Mkapa
Ni mtu na nusu
Salma Kikwete
Ni mtu na nusu
Janet Magufuli
Ni mtu na nusu
Getrude Mongelia
Ni mtu na nusu
Bi Mwenda
Ni mtu na nusu
Bi Kidude
Ni mtu na nusu
Mama Khadija Kopa
Ni mtu na nusu
Yaw yaw
Kondeboy call me number one
Number one
It's Konde music worldwide
- AZLyrics
- H
- Harmonize Lyrics
album:
"Muziki Wa Samia" (2024)
You May Also Like
Sauti Sol - "Nenda Lote" Umetuma wazazi wako waje wanielezee
Umetuma wazazi wako waje wanielezee
Hunitaki tena
Na mashoga zako waje waniambie
Na mashoga zako waje waniambie
Ndoa tumeivunja
Siamini Kuna time singeishi bila...
Meddy - "Queen Of Sheba" Pretty girl, move your waist (your waist)
Why you all over my head (my head)
I think you the best
Nsekera mwana nkunda ouh la la
Ngaho ngwino unyegere yego sha
Be my queen of sheba, iyele mama
She...
Yung Willis & Mr Eazi - "Happy" Me I want to Jaiye
Me I want to party
Me I want to have some fun
Me I want to be Happy
Happiness is all I need
Giddem Wi Wi Wi
Willis Give Dem
As I wake up in the morning I feel blessed
I no dey...
Fave - "Baby Riddim" Steady your face jor for me
I wanna take a picture
So this could last longer for me (Longer for me)
Yeah, take my secrets
Guard them like precious money (Precious money)
I never want to hear you...
Adekunle Gold - "Ogaranya" (Ob', Obah)
(What dem a say?)
Butterflies in my tummy when the money enter, me, I like it
Getting rich and it's all in the plan
Mama, I made it to Forbes
I buy German for my baby
Mo toju mommy, mo...