"Zamani" lyrics

"Zamani"

Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unadanga leo si tulidanga zamani

Unaringia picha zenye filter ya huko Insta
Zamani si tulitisha mwendo wa kiko hakuna shisha
Shepu zakushikika kitu O.G. ugali muchicha
Leo munatingisha kimbe wachina wamejazisha
Zamani tulihonga bangili (ayah), pini masikioni (ayah)
Leo mumebadili mnahonga na iPhone

Vijana wengi wazembe wengi waongo chumbani butu
Wazee wa mundende mara mukongo, alkasusi
Zamani si ndio majembe tena vibongo wachinja kuku
Chumbani kimbembe mechi ya ndondo hatoki mutu

Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, una-cheat leo si tuli-cheat zamani

Mhh, enzi zetu kupendeza haugusi
Suti rangi kifuu na shingoni kamjusi
Kwenye nywele za zuu, nna moka za Urusi
Mhh, kishoka kwa juu na kigazeti cha uzushi
Zamani kuwahi kazi sio mwendo kasi unapanda U.D.A
Kwa mwenye nazo ni taxi sio ku-request mambo ya Uber
Wadada zamani kazi kazi hawalewi bia leo kesho
Sikuhizi vichwa panzi bia mbili kashafika geto
Zamani ni tofauti na leo
Hadi ng'ombe maradufu ndio anakuwa mkeo
Zamani ni tofauti na leo
Ukitoa chipsi kuku analegeza komeo

Vijana wengi wazembe wengi waongo chumbani butu
Wazee wa mundende mara mukongo, alkasusi
Zamani si ndio majembe tena vibongo wachinja kuku
Chumbani kimbembe mechi ya ndondo hatoki mutu

Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unalewa leo si tulilewa zamani
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, unahonga leo si tulihonga zamani
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh
Ayi ye yoh, una-cheat leo si tuli-cheat zamani


Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Raymond Shaban Mwakyusa
You May Also Like
Harmonize - "Vibaya" Alisema mapenzi vita Mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui Eeh maadui Badala ya miezi kupita aah Vikombe lazima vigongane Na sio kwamba hayajui, eeh hayajui Pigo za kusema vya jndani mi sinaga...
Meddy - "Carolina" Aaaahh aaaahh Yeeyeeeh yeeh Aaaah... Eleeeh Don't let me down Oya I got you Don't let me down Oya I got you Don't let me down Oya I got you Country records Carolina give me fever Your body make me...
Nyashinski - "Hapo Tu" Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! (Yeah, yeah yeah yeah) Hapo tu, hapo tu, hapo tu, hapo! (Cedo) Guardians tuko jaba Wengine wako meeting Zetu ni ma German Zenyu pikipiki Leo tunaenda Canaan Beba...
Fally Ipupa, Flavour & Diamond Platnumz - "Berna Reloaded" Wasafi (Masta) Berna, Berna (Original Mr Flavour) Berna baby see as you fine o Berna baby see as you fresh o Na only monkey go say you no fine Berna Fire baby buru bia le eh Kirikata kirikata mama...
Nandy & Joeboy - "Number One" Whatever you dey do make you put jara And anything they wanna say doesn't really matter Don't stay far from me Baby just come closer eh Imarama you be fine with the whine oshe le le Number one...