"Sofia" lyrics

"Sofia"

Utanikumbuka Sofia navyocheka navyotabasamu
Utanikumbuka Sofia mapenzi yangu ya ajabu
Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha
Machozi nayo kanitiririka niendeje mama

Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka, utanikumbuka

Navyocheka navyotabasamu (utanikumbuka)
Mapenzi yangu baibe (utayakumbuka)
Giza na taa (utanikumbuka)
Dhiki faraja (utanikumbuka)

Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha
Machozi nayo kanitiririka nifanyeje mama
Yeah yayaya, yayaya yeah

Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka Sofia
Utanikumbuka, utanikumbuka

Kwaheri, kwaheri Sofia
Kwaheri, kwaheri Sofia
Kwaheri, kwaheri Sofia
Kwaheri, kwaheri Sofia

Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia)
Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia)
Utanikumbuka Sofia (utanikumbuka Sofia)
Utanikumbuka, utanikumbuka
Soooo... soooo...

Sintonisahau Sofia navyocheka navyotabasamu
Sintonisahau Sofia mapenzi yangu ya ajabu
Giza nene lilitanda moyo wangu uliponiacha


You May Also Like
Adekunle Gold - "Mr. Foolish" Oun fi na sori orule (You put fire on your roof) O ni o fe sun lale (You want to sleep at night) (Mr Foolish) Oun gun keke ni railway (you're riding a bicycle on a railway tracks) Awe sofe pare (My...
Diamond Platnumz - "Mapenzi Basi" Mi mwenzenu tena basi Oh mapenzi sitaki Oh mwenzenu tena basi Basi sitaki Yalinifanya nikaugua Mara napanga napangua Mwili ukakonda nikapungua Ah sikulala, sikulala Oh maradhi nikaugua oh Yakanichoma...
Simi - "Duduke" First let me say to you I can not wait to see you You are the treasure I've been waiting for Do you know, do you know How much I really need you I dey pray for the day when I can finally kiss you...
Yemi Alade - "True Love" Yeah yeah, yeah yeah Yeah yeah, yeah yeah Happy days, happy times Happy days, happy times DJ play that happy music (Wan forgetti my sorrows) Make them play that happy music (Forget my sorrow and...
Joeboy - "Celebration" Celebration Celebration na Jubilation Jubilation oh na na (Na na) Celebration, celebration Wey we con do for our life We go dey alright o Tori ma lowo Ma Lola Ma ra le Mara le Ma jaye Ma ra motto...