"Mdomo" lyrics

"Mdomo"
(feat. Ibraah)

Hahaha, Jeshi
I really sound crazy (songs by Abbah)
Chinga
I wanna sing for my lady oh
Sexy lady mmmh

Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo
Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo
Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo
Tena unavyojisuuza hujikwezi
Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi
Yani unawaburuza hawakuwezi
Umeniteka mama

Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi

Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo
Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo

Mmmmmh Yeah
Oh baby I don't even understand
Nahisi kama umenifanyia limbwata
Ila ndo mapenzi sishangai
Yeah
My baby, I don't want a one night stand
Mi kwako chizi nishadata, nitakupenda till I die
Maana unanipa mawenge (ngengenge)
Mara vichwa mara mwenge (ngengenge)
Kaja gym na kite (tengenge)
Ilimradi uchokozi
Aah onananana
Macho yanatazama mbingu, na mikono ushafunga na pingu
Kibaridi huko nje kuna wingu, mi namwa mwagaga machozi

Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi

Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo
Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo mdo mdomo
Mdo

Anataka niteleze kwa ute (Hana ubaya)
Nikitapika nisifute (Hana ubaya)
Ananifanya nisijute (Hana ubaya)
Hana
(Harmonize)
Say
Chumbani nikukute (Hana ubaya)
Na ganja mbili tuvute (Hana ubaya)
Na vumbi la Congo ulifute (Hana ubaya)
Hana
(The mix killer)
Kondeboy call me number one
Chinga yes number one
Number one
Hehe


You May Also Like
Sauti Sol - "Melanin" When a good girl gone bad What you gonna do? Run go meet her dad? You don wanna do Well this is Sauti Sol, Patoranking, world best yo Watch this Love confession She's a heart breaker She bend over...
Chike & Simi - "Running (To You)" Anybody wey wan fight you Make them come They already know I'll be right beside you Like the wall of Jericho They don't know They don't know They don't know what's going on Muna gi so Muna gi so,...
Rayvanny - "Teamo" (Ayo, Lizer) Mm, namshukuru Mola kanijalia Mrembo wa sura hadi tabia Nina kila sababu ya kujivunia, yeah Yani kila kona umetimia Napenda manukato ukinukia Ukinigusa ndo nazimia, yeah Yani kama...
Diamond Platnumz - "Inama" Ayolizer Kukudekeza kama mtoto Furaha unafurahia Alafu geuka moto Machozi unalia Mwembamba mwenene Uwe na pesa kama Dangote (Dangote) Penzi halijali umasikini Laweza penda mtu yoyote Penzi sio somo...
Olakira & DaVido - "Maserati (Remix)" Ye, Olakira kirikata, baby Let's hop in my Maserati Baby, hop in my Maserati I say hop in my Maserati Hop in my Maserati Girl, I wanna see you go down yeh Say me I love the way you gbe body Hop in...