"Wakunesanesa" lyrics

"Wakunesanesa"

Mmh mwenye mwendo wa kunesanesa
Basi ukipita, sijamuona ni wewe
Kwenye bunge kutesatesa
Kuwafunika hakuna mwingine
Mmh mwenye mwendo wa kunesanesa
Basi ukipita, sijamuona ni wewe
Sikuamini kama udondoo
Kwangu ungetoka baki mwingine

Baby, uliposema unaondoka
Okay nkadhani unantishaa
Kda hakika nikajipa
Wewe kwangu umefika
Uliposema unaondoka
Okay nkadhani unantishaa
Kwa hakika nikajipa
Wewe kwangu umefika
Mmh dharau, kiburi nikafanya kwako sahau
Fedha ama ilikuwa ni zako wadau
Wote waliotoka kwako
Sikumuona si kituu
Mmh dharau, kiburi nikafanya kwako sahau
Fedha ama ilikuwa ni zako wadau
Wote waliotoka kwako
Nikawaona si kituu
Wajanja waliniteka wenye kutumia
Nikaanza ata madini, fedha kukuibia
Chini ya mara mobili ulinifumania
Lakini sikujali kama huwa unaumia
Wajanja waliniteka wenye kutumia
Nikaanza ata madini, fedha kukuibia
Chini ya mara mobili ulinifumania
Lakini sikujali kama huwa unaumia

Mmh mwenye mwendo wa kunesanesa
Basi ukipita, sijamuona ni wewe
Kwenye bunge kutesatesa
Kuwafunika hakuna mwingine
Mmh mwenye mwendo wa kunesanesa
Basi ukipita, sijamuona ni wewe
Sikuamini kama udondoo
Kwangu ungetoka baki mwingine

Mmh nikipiga simu hutaki
Kuongea unaishia kaa
Nimekosa nisamehe basi
Mama naomba unionyeshe hiyo nafasi
Nikipiga simu hutaki
Kuongea unaishia kaa
Nimekosa nisamehe basi
Mama naomba unionyeshe hiyo nafasi
Mi najua mi kweli nimetenda kosa
Natambua sio funzo kunitosa
Natambua penzi lako kulikosa
Mi nitateseka sana
Najua mi kweli nimetenda kosa
Natambua sio funzo kunitosa
Natambua penzi lako kulikosa
Mi nitateseka sana
Rudi basi mpenzi mi nitatulia
Funzo ulilonipa lishanifikia
Huoni ata nimbo nzuri nakuimbia
Japo nalala mi Kaila namsifia
Rudi basi mpenzi mi nitatulia
Funzo ulilonipa lishanifikia
Huoni ata nimbo nzuri nakuimbia
Japo nalala mi Kaila namsifia
Mmh mwenye mwendo wa kunesanesa
Basi ukipita, sijamuona ni wewe
Kwenye bunge kutesatesa
Kuwafunika hakuna mwingine

Mmh mwenye mwendo wa kunesanesa
Basi ukipita, sijamuona ni wewe
Sikuamini kama udondoo
Kwangu ungetoka baki mwenyewe

Mmh mama, mi moyo unauma sana
Mama kwa yale yote nililofanya
Mmh mama, moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Mmh ma mi moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Aah
Mmh ma mi moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Mmh aah

Mi moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Moyo unauma sana
Mi moyo unauma sana


You May Also Like
Rema - "YAYO" P Anoti, anoti, anoti Forget, forget fugazi Land for Pinnock, cost me a Richard Millie That same week, I cop me a new car key All the gyal dem love oh, what a feeling I am shining, neck and my wrist...
Darassa & Harmonize - "Mazoea" Uh, I'm tryna tell my friend this is different Kama you got me end of the mission They say, "stop playing, weh' Mzee 'You going insane?" Unapewa nini, masikio You don't listen (Bomboclaaa-, yeah)...
Rayvanny - "Unaibiwa" Usidate na njonjo za mapenzi Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend Maufundi toka tanga na zenji Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji Anakuchanganya kiunoni shanga Marashi kama uko...
Asake & Olamide - "Amapiano" Dem know, dem know, dem know, dem know Ololademi Asake Tune in to the king of sounds and blues Dem know, dem know Amapiano, eh Diano, eh It's a big vibe, all the girls dem know Steadily, steadily...
Bayanni - "Ta Ta Ta" (Mavin) Ɔhemaa doh, doh, doh She wan dey form I give her one time now she come for more (Ah, ah) My thing too long, she want to taste my kokoro My dear make I tell you, I no dey wan dey do like say...